Lakini siku ya tatu baada ya kifo chake, atafufuliwa kutoka kwa wafu.” Mama Ataka Upendeleo Maalum kwa Wanaye (Mk 10:35-45) 20 Ndipo mke wa Zebedayo akamjia Yesu akiwa na wanaye. Akainama mbele ya Yesu na akamwomba amtendee kitu. 21 Yesu akasema, “Unataka nini?” Akasema...