17Baada ya Yesu kusema maneno hayo, alitazama mbinguni na kuomba, “Baba, wakati umefika. Mpe utukufu Mwanao ili Mwanao naye akupe wewe utukufu.2Ulimpa Mwana mamlaka juu ya watu wote ili awape uzima wa milele wale wote uliompa.3Na uzima wa milele ndiyo huu: kwamba watu watakujua...
Akasema, “Mwalimu, ninatakiwa nifanye nini ili niurithi uzima wa milele?” 26 Yesu akamwambia, “Imeandikwa nini katika torati? Unaielewaje?” 27 Yule mwana sheria akajibu, “‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote, na kwa akili...
Usiku ule Yesu akaenda katika mlima wa Mizeituni. Mapema asubuhi akarudi katika eneo la Hekalu. Watu wengi wakaja kwake, naye akakaa pamoja nao na
49 Sikusema mambo haya kwa mamlaka yangu mwenyewe. Bali Baba yangu aliyeni tuma amenipa amri kuhusu mambo ninayosema na kutamka. 50 Ninafa hamu ya kuwa sheria yake ni uzima wa milele. Kwa hiyo ninayosema ni yale ambayo Baba yangu ameniagiza niyaseme.”John...
17Yesu alipomaliza kusema maneno haya, alitazama mbinguni akasema, “Baba, wakati umefika. Dhihirisha utukufu wangu ili nami nikutukuze wewe,2kwa kuwa umenipa mamlaka juu ya watu wote, niwape uzima wa milele wale ambao umewakabidhi kwangu.3Na huu ndio uzima wa milele: wakufahamu w...
Miujiza hii inaonesha mimi ni nani. 26 Lakini hamuamini, kwa sababu ninyi siyo kondoo wangu. 27 Kondoo wangu huisikia sauti yangu. Nami nawajua, nao hunifuata. 28 Mimi nawapa kondoo wangu uzima wa milele. Nao hawatakufa kamwe, na tena hakuna atakayemchukua yeyote kutoka ...
Akasema, “Mwalimu, ninatakiwa nifanye nini ili niurithi uzima wa milele?” 26 Yesu akamwambia, “Imeandikwa nini katika torati? Unaielewaje?” 27 Yule mwana sheria akajibu, “‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote, na kwa akili...
neno nililotamka litamhukumu siku ya mwisho.49Sikusema mambo haya kwa mamlaka yangu mwenyewe. Bali Baba yangu aliyeni tuma amenipa amri kuhusu mambo ninayosema na kutamka.50Ninafa hamu ya kuwa sheria yake ni uzima wa milele. Kwa hiyo ninayosema ni yale ambayo Baba yangu ameniagiza ...

50 Ninafa hamu ya kuwa sheria yake ni uzima wa milele. Kwa hiyo ninayosema ni yale ambayo Baba yangu ameniagiza niyaseme.” John 12 New King James Version The Anointing at Bethany 12 Then, six days before the Passover, Jesus came to Bethany, where Lazarus was [a]who had been dead...