Hvi ni aina gani nzuri kwa maana ya ubora life span, na bei nafuu kati boxer na SNLG au Pikipiki nyingine (bodaboda) Kwa kuzingatia hivyo vigezo ulivyotaja Chukua boxer. Pia kwa nyongeza Boxer haitumii mafuta sana kama zilivyo pikipiki zingine mfano snlg uliyoitaja, Hapo ni...