Endoskopia ya juu—bomba inayoingia mdomoni mwako na chini kwenye umio wako, kuangalia umio, tumbo na sehemu ya utumbo mdogo wako Endoskopia ya chini (kolonoskopia)—bomba inayoingia kwenye tundu lako la haja kubwa ili kuangalia rektamu na utumbo mpana Sigmoidoskopia ni...