Aina nyingi za dawa mbadala hazijafanyiwa majaribio ya kisayansi ili zithibitishwe kuwa zinafanya kazi Manufaa ya dawa mbadala hayajathibitishwa na zinaweza kukudhuru Ni zipi hatari za kutumia dawa mbadala? Huenda dawa mbadala: Zisifaulu kutibu kansa yako Zikazu...